×

Pama Group Yakanusha Uzushi Pombe za Viroba

Baadhi ya waandishi wa habari wakisikili za makini.

KAMPUNI ya Pama Group Limited, imepinga vikali  taarifa ambazo zimeandikwa kwenye vyombo vya habari kuwa  ni moja ya kampuni ambazo zinataka kuishitaki serekali kutokana na kusitishwa kwa uzalishali wa pombe za viroba kitu ambacho wamekikana  walipokuwa wakizungumza na waandishi wa habari  katika Hoteli ya Spice iliyopo Mnazi mmoja jijini  Dar.

Mkurugenzi wa kampuni hiyo Philipo Magori (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari na pembeni yake ni Ramadhani.

Mkurugenzi wa kampuni hiyo  Philipo  Magori, alisema kuwa kampuni hiyo haijawahi kufikiria kufanya hivyo hata mara moja na wanashangazwa na mwanasheria ambaye alizungumza kwa niaba ya kampuni hiyo.

Mkurugenzi wa kampuni hiyo Philipo Magori (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari na pembeni yake ni Ramadhani.