- Wahojiwa 1,800, awamu ya 13 ya kupigiwa simu kwa kundi hili la wahojiwa, kati ya tarehe 14 – 26 Septemba 2016.
- Wahojiwa 1,610, awamu ya 16 ya kupigiwa simu kwa kundi hili la wahojiwa, kati ya tarehe 9 – 15 Februari 2017.
- Kaya nane kati ya kumi (asilimia 80) zimeripoti kwamba kipato chao hakikidhi mahitaji yao ya kila siku.
- Kaya nane kati ya kumi (asilimia 79) huweka akiba ya chakula kwa ajili ya kijitosheleza ifikapo vipindi vya njaa.
- Wahojiwa wengi wa Sauti za Wananchi (asilimia 78) wanaripoti upungufu wa chakula katika maeneno wanayoishi
- Bei ya mahindi imepanda mara mbili katika kipindi cha miaka miwili na kusababisha ongezeko la bei katika bidhaa.
- Kaya saba kati ya kumi (asilimia 69) zilihofia kukumbwa na njaa katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
- Hali ya upungufu wa chakula imekua mbaya zaidi katika kipindi cha mwezi wa Septemba mwaka 2016 hadi Februari, 2017.
- Sare za shule, kadi ya matibabu, chakula na kadhalika kutoka kwenye Mpango wa Watoto Wanaoishi kwenye Mazingira Magumu
- Nafaka za bure kutoka kwa viongozi wa kijiji na Wakala Wa Taifa Wa Hifadhi Ya Chakula (NFRA)
- Chakula cha shule kinachotolewa na Mpango wa Chakula Shuleni
- Kazi za jamii zinazotolewa na Tanzania Social Action Fund (TASAF)
- Pesa zinazotolewa na TASAF kwa ajili ya kunusuru kaya masikini
- Vocha za mbolea/mbegu zinazotolewa na Mpango wa Taifa wa Ruzuku na Kilimo
- Malipo ya mafao kutoka Mfuko wa Pensheni wa Taifa (NSSF)
- Malipo ya mafao kutoka Mfuko wa Pensheni wa Watumishi wa Umma (PSPF)
Comments are closed.