The House of Favourite Newspapers

#GlobalCelebrities: Itazame Studio Session Ya Rosa Ree Ndani Ya The Industry Studios- (Video)

Tunazidi kuikaribia weekend na bado nipo na wale watu wangu wenye mapenzi makubwa na Bongo Fleva. 

Nilianza kwa kuileta kwako studio session ya ‘Pepeta’ ya msanii wa Bongo Fleva Chin Bees na nia yangu ilikuwa kukupa experience ya kile kinachoendelea studio wakati msanii akiwa anarekodi.

Leo kwenye entertainment updates za Bongo Fleva nakupeleka moja kwa moja Mikocheni, Dar es salaam kwenye studio za The Industry ambapo Global TV Online ilishuhudia studio session ya Rosa Ree (#FemaleKendrick) akiwa kwenye mazoezi ya kurekodi.

Zile flow na bars zote za kimamtoni zilirekodiwa na kuhifadhiwa kwenye hizi dakika nane hapa chini.

Tazama jinsi studio session ya Rosa Ree ilivyokuwa wakati akirekodi ndani ya The Industry Studios:

 

IMEANDIKWA NA: Sandra Brown.

Video/ Interview: Becka Issa.

Subscribe kwenye YouTube Chanel yetu ya Global TV Online ili zote kali zinazotufikia iwe ni siasa, michezo, comedy, burudani, stori za mastaamuziki na nyingine zikufikie kwa wakati.

Comments are closed.