Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli atengua uteuzi na kumsimamisha kazi Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Bunge, Bw. Uledi Abbas Mussa ili kupisha uchunguzi dhidi yake.