×

Mwili wa George Kahama Waagwa Leo Dar

Viongozi mbalimbali wa Serikali

MARAIS wastaafu, Mzee Mwinyi, Mkapa na Kikwete waongoza kutoa heshima zao za mwisho Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar wakati wa kuuaga mwili wa George Kahama.

Baadhi ya waombolezaji wakiwemo watumishi wa serikali na viongozi mbalimbali walihudhuria

Waziri Mkuu wa Zamani Edward Lowassa akizungumza jambo na mkewe ukumbini hapo
Spika wa Bunge la Serikali ya Awamu ya Nne Anne Makinda wapili kulia akizungumza jambo na muombolezaji.

 

 

Picha ya Marehemu enzi za Uhai wake

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe

Rais Mstaafu Ndugu Jakaya Kikwete akisamiliana na wafiwa
Waziri mkuu mstaafu Lowassa akitoa heshima zake za mwisho

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe akizungumza jambo.

Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akisalimiana na waombolezaji
Mzee Mwinyi akitoa Heshima zake za mwisho
Viongozi Wastaafu wakifuatilia jambo kwa makini

 

Rais Mstaafu Mwinyi akitoa heshima zake za mwisho
Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ally Hassan Mwinyi akizungumza jambo mbele ya waombolezaji waliofika ukumbini leo
Rais Mstaafu Benjamini William Mkapa akisalimia waombolezaji

Picha na Denis Mtima/GPL