
FILAMU ya kusisimua kwa lugha ya kiswahili ‘Barua’ leo utaitazama sehemu ya pili na kila siku Global Tv Online itakuwa na utaratibu wa kukuletea filamu za kusisimua.
Tembelea tovuti ya Global Tv Online ili uwe mwanafamilia wa familia kubwa ya burudani dunia. Kumbuka Global Tv inarusha matangazo yake kwa lugha ya kiswahili na matukio mengi utayapata mubashara.