
GLOBAL TV Online inakuletea ‘short film’ ijulikanayo kwa jina la Pain For Nothing-Part 1 kutoka kampuni maarufu ya filamu ya K2ME ENTERTAINMENTS ya jijini Dar es salaam. 
Wachezaji wakuu ni King Majuto, Ally Kigwe, Lucky Lukamo, Tatu Kiango, Irene Uwoya na wengine kibao.

Endelea ku-enjoy Movie hii.