×

Watu 27 Wafariki Katika Ajali Mombasa, Kenya

Muonekano wa basi baada ya kupata ajali na watu 27 wamefariki leo na wengine kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori huko Kambu, Mombasa nchini Kenya.
Muonekano wa Lori baada ya kupata ajali.

 

Basi likiwa katika muonekano mbaya baada ya kupata ajali.

PICHA NA KTN NEWS

Leave a Comment