Video: Bayern Munich Wapigwa Nyumbani na Borussia Dortmund Bao 3-2
Global Publishers April 27, 2017 0 Comments
SHARE THIS:
Wachezaji na makocha wa wa Borussia Dortmund wakishangilia baada ya kuibuka na ushindi wa bao 3-2 dhidi ya Bayern Munich ikatika Uwanja wa Allianz Arena usiku wa kuamkia leo. Mchezo ukiendelea.