×

Wema Sepetu Apanda Kizimbani Kisutu

Mwigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu akiwasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar leo.
…Akiwa na mama yake mzazi wakiingia mahakamani.

…Wakiwa mahakamani hapo.

Wema akiondoka katika mahakamani baada ya kesi yake kuahirishwa.

…Akiongea na rafiki yake aliyemsindikiza mahakamani.
…Akiwa ndani ya gari baada ya kutoaa mahakamani.

LEO Mei 2, nyota wa sinema za Bongo, Wema Sepetu, alipanda tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar kusikiliza kesi ya tuhuma za kutumia na kukutwa na madawa ya kulevya ambapo upande wa Jamhuri umekamilisha upelelezi wa kesi inayomkabili msanii huyo.

Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, ameahirisha kesi hiyo mpaka June 1, mwaka huu ambapo mahakama itasikiliza maelezo ya awali ya upelelezi huo.

(PICHA: DENIS MTIMA/GPL)

Leave a Comment