×

Professor Jay: Wasanii wa Tanzania Wamekata Tamaa (Video)

Mbunge wa Jimbo la Mikumi ambaye pia ni Mwanamuziki wa Hip Hop Tanzania, Joseph Haule ‘Professor Jay’ ameiomba serikali kuzingatia kilio cha wasanii kwa kusimamia hati miliki ili kuongeza pato katika uchumi wa nchi yetu.

Leave a Comment