IKULU: Rais Magufuli ametoa magari matatu ya kubebea wagonjwa (Ambulance) kwa Wabunge wa majimbo ya Nkasi, Shinyanga na Tabora.

Mbunge wa Viti maalumu Tabora Munde Tambwe akifurahi baada ya kukabidhiwa gari hilo na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi.

Wabunge hao wakielekea mahali ambapo magari hayo yalikuwa yameegeshwa.

Mbunge wa viti maalum CCM Lucy Mayenga akikabidhiwa funguo za gari na Balozi John Kijazi.

Mbunge wa Nkasi (CCM), Ally Kessy akifurahia baada ya kukabidhiwa gari hilo.
