The House of Favourite Newspapers

JPM Atuma Salam za Rambirambi Vifo vya Sozigwa na Mwambungu

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametuma Salam za Rambirambi kufuatia vifo vya viongozi wawili waliowahi kulitumikia Taifa, Mzee Paul Sozigwa na Mzee Said Mwambungu waliofariki dunia Katika Hospitali ya Muhimbili leo Mei 12, 2017.

Leave A Reply