×

TANZIA: Msanii Dogo Mfaume, Afariki Dunia

TANZIA: Msanii wa Bongo Fleva, Mfaume Selemani ‘Dogo Mfaume’, aliyetamba zaidi na wimbo wake wa Kazi ya Dukani amefariki dunia leo.

Dogo Mfaume alikuwa Sober House (alikuwa akipata matibabu ya Matumizi ya Madawa ya Kulevya)

Marehemu alikuwa amepangiwa kufanya Operation ya Kichwa (ambapo alikuwa na Uvimbe) siku ya Ijumaa.

Dogo Mfaume – Kazi Ya Dukani (Official Video)

 

INTERVIEW YA MWISHO YA DOGO MFAUME NA GLOBAL TV ONLINE

=======
Dogo Mfaume Azungumza Alivyoacha Madawa ya Kulevya Akiwa Pilli Missana Foundation

Dogo Mfaume Afunguka Sababu Zilizomfanya Kula Unga -Part 02

Dogo Mfaume; Hili Ndilo Tukio Nisiloweza Kulisahau Nilipokuwa Nakula Unga -Part 03