PICHAZ: Taswira ya Msiba wa Dogo Mfaume Nyumbani Kwao Chanika – Dar
Global Publishers May 19, 2017 0 Comments
SHARE THIS:
Dogo Mfaume enzi za uhai wake.
KUFUATIA kifo cha aliyekuwa Msanii wa Bongo Fleva, Mfaume Selemani ‘Dogo Mfaume’, aliyetamba zaidi na wimbo wake wa Kazi ya Dukani kufariki dunia juzi Mei 17, 2017, mwili wa marehemu unatarajiwa kuzikwa leo .
Waombolezaji wakiwa msibani nyumbani kwao na marehemu Dogo Mfaume.
Dogo Mfaume alikuwa Sober House (alikuwa akipata matibabu ya Matumizi ya Madawa ya Kulevya).
Kaka wa Marehemu ajulikanayae kwa jina la Hassan Nassoro akizungumzia kifo cha mdogo wake.Mwili wa marehemy Mfaume ukiwasili nyumbani.Mwili wa marehemu baada ya kuwasili nyumbani.
PICHA NA GABRIEL NG’OSHA | GPL
Maneno ya Mwisho Aliyoyasema Dogo Mfaume kabla Hajafariki Dunia