×

BreakingNews: Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Prof. Muhongo… Barua Ipo Hapa

IKULU: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo ambapo uteuzi wa kujaza nafasi yake utafanyika baadaye.

 

ILIKUPITA HII… Ripoti ya Mchanga wa Dhahabu, Rais Magufuli Amtaka Muhongo Aachie Ngazi, Awatumbua TMAA

Leave a Comment