Rais Magufuli Amtaka IGP Sirro Kuondoa Dosari Zote za Utendaji Ndani ya Jeshi la Polisi
Global Publishers
June 2, 2017
0 Comments
Rais Magufuli akizungumza na Makamanda Wakuu kutoka Makao Makuu ya Polisi, Makamanda wa Mikoa na Vikosi vya Tanzania Bara na Zanzibar leo.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemtaka IGP Simon Sirro kuondoa dosari zote za utendaji kazi zinazoshusha ufanisi na heshima ya Jeshi la Polisi.

Aida Rais amelitaka Jeshi la Polisi kutoa ushirikiano kwa IGP mpya na Wizara ya Mambo ya Ndani kwani anaitegemea sana.


