

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akisaini kitabu cha Maombolezo katika msiba wa aliyekua Muasisi wa hicho Mhe. Dkt. Phillemon Ndesamburo Moshi.

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe na Kamati ya maandalizi wakiwa uwanja wa Mashujaa utakaotumika kuaga mwili wa Mhe. Ndesamburo.