×

VIDEO: Watoto Majeruhi wa Ajali ya Lucky Vincet Waanza Mazoezi ya Viungo

Watoto Sadia, Wilson na Doreen wameendelea na mazoezi ya mwili na viungo chini ya Uangalizi wa Dkt. Elias Mashalla na “physiotherapists” kutoka Sioux City. Imeelezwa kwamba maendeleo yao wote ni mazuri.

Mtoto Doreen ataonana na daktari wake wa mifupa baadae leo Alhamisi . Mungu na azidi kujibu maombi ya wote kwa ajili ya hawa watoto.

Leave a Comment