The House of Favourite Newspapers

LIVE Kutoka Mbuga za Wanyama: Unforgettable Tanzania

0

GLOBAL TV Online, kwa hisani kubwa ya TANZANIA NATIONAL PARKS (TANAPA), inakuletea kipindi cha FAHARI YA TANZANIA ambacho kinaonesha maisha ya wanyama kutoka mbuga za Wanyama za Tanzania za Serengeti, Ngorongoro na kwingineko.

Ni kipindi maalum cha kutangaza Utalii wa Ndani, ambao ni kielelezo tosha cha utajiri asilia wa nchi yetu Tanzania.

Usikose kutazama kipindi cha mbuga za wanyama leo kikirushwa LIVE kupitia Global TV Online leo saa 11:30 jioni.

Kutazama kipindi hiki Subscribe hapa www.youtube.com/user/uwazi1

 

Leave A Reply