×

LIVE: Rais Magufuli Azindua Barabara ya Msata – Bagamoyo

PWANI: Hafla ya Rais Dkt. John Magufuli kuzindua Barabara ya Msata – Bagamoyo, Pwani imeanza kufanyika eneo katika eno la Ruvu Chini.

Mkuu wa Mkoa wa Pwani amesema, Barabara hiyo mpya ya Msata – Bagamoyo, itasaidia Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kujenga kampasi yake mpya ya Msata ambayo itaweza kudahili wanafunzi 10,000.

Barabara hiyo mpya yenye urefu wa kilomita 64 itasaidia katika kukuza uchumi, usafirishaji wa mazao pamoja na kukuza sekta ya viwanda.

 
PICHA NA HILALI DAUDI | GLOBAL TV ALIYEKO BAGAMOYO

Leave a Comment