
Mpaka Home wiki hii imemuibukia msanii wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela, Mtaa wa Ufipa, Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo mbali na mambo mengine, ameonesha mambo mbalimbali yahusuyo maisha yake ya kila siku.
Yusuf Mlela ameonesha tuzo kadhaa alizowahi kushinda, ikiwemo tuzo ya Ijumaa Sexiest man 2009, aliyotunukiwa na gazeti la Ijumaa linalochapishwa na Kampuni ya Global Publishers pamoja na tuzo nyingine, ikiwemo ya Kinara.
Mlela amezungumzia kwa kina kuhusu maisha yake binafsi na maisha yake ya kisanii.
MTAZAME HAPA AKIFUNGUKA
1 Comment