VP @SuluhuSamia amezitaka nchi wanachama wa SADC kuondoa vikwazo mbalimbali vya kibiashara ili kurahisisha maendeleo- HT @ THE CITIZEN pic.twitter.com/7VMhMWAglh
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 7, 2017
Kufuatia sakata la vyeti feki, waganga wa mikoa wameitaka serikali kuajiri wafanyakazi wa afya 7,304 ili kunusuru sekta hiyo- HT @ MWNAANCHI pic.twitter.com/fSrLPJPG2D
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 7, 2017
Rufaa ya vyeti feki ndiyo basi tena, serikali yatangaza ajira mpya kabla ya kuamua rufaa zao, WaziriKairuki ashindwa kueleza. #TanzaniaDaima pic.twitter.com/74izyGS0ab
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 7, 2017
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa Julai 7, 2017 –https://t.co/Vyv59ZWklj@ChampioniNews pic.twitter.com/ZvS0EuOswp
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 7, 2017
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa Julai 7, 2017 –https://t.co/Vyv59ZWklj
Gazeti la Ijumaa pic.twitter.com/8RHOOiKGzg— Global Publishers (@GlobalHabari) July 7, 2017
Video: Cloud 112 Aibuka na Mke Mpya Global Kutambulisha Muvi Ya ‘Usijisahau’ –https://t.co/lsiOGk6dWL pic.twitter.com/jSry5Qaz4n
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 7, 2017
Kimenuka! Sakata la Mwanaye kuzaa na binti wa Kenya, Mama @OfficialAliKiba atema cheche, @jokateM naye amwaga povu. #GazetiLaIjumaa pic.twitter.com/PEJOvRhgXa
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 7, 2017
Duh! Malaika kagonga picha za utupu 2. –#GazetiLaIjumaa pic.twitter.com/6CjjiFAJ8z
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 7, 2017
Kampuni ya kuhudumia makontena bandarini, TICTS imeongeza kodi asilimia 100 katika mkataba mpya ilioingia na TPA kutoka 5.7bn hadi 31.4bn. pic.twitter.com/YrUI2CB3pF
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 7, 2017