#MkapaFoundation: Rais Magufuli mgeni rasmi uzinduzi wa nyumba 50 Chato, Mwanza zilizojengwa na rais mstaafu, Benjamin Mkapa.
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
#MkapaFoundation: Tazama live uzinduzi wa nyumba 50 zilizojengwa na rais mstaafu Mkapa, Chato. Mgeni rasmi ni JPM https://t.co/qUtrT8tgTH pic.twitter.com/eWo902U2gE
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
#MkapaFoundation: Mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani, amemzawadia rais mstaafu, Benjamin Mkapa, ng’ombe 10 kwa niaba ya wananchi wa Chato
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
#ESCROW: Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja ametangaza kurejesha pesa za #ESCROW alizopewa.
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
#Msukuma: Nakumbuka Mkapa kipindi cha uchaguzi aliposema wanaojifanya wanataka kuikomboa nchi ni wapumbavu, rais wetu ni @MagufuliJP .

Kuanzia sasa, Mtanzania yeyote atakayepima na kukutwa na UKIMWI ataanza kutumia dawa mara moja bila kujali kiwango chake cha CD4.-@UMwalimu
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
#MkapaFoundation: Mkapa- Mengi yalisemwa nilipoamua kumteua John Pombe Magufuli kuwa waziri mwaka 1995, kujituma kwake kulinivutia sana.
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
#MkapaFoundation: JPM- Mimi leo nimekuja hapa kama mwanakijiji wa Chato, sitakiwi kutoa hotuba, nimekuja kukupokea wewe baba (Mkapa).
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
#MkapaFoundation: JPM- Najua mzee Mkapa hupendi sifa lakini katika hili naomba nikusifu, wewe ndiye uliyenitoa huku kijijini, nikawa mbunge.
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
#MkapaFoundation: JPM: Walionisaidia mimi kuwa hapa nilipo leo, ni wewe mzee Mkapa na rais aliyepita, @jmkikwete nawashukuru sana.
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
Waziri @UMwalimu asema, wanaosema watakosa biashara sababu serikali inanunua dawa yenyewe kwa wazalishaji wajue dawa si biashara bali huduma pic.twitter.com/iP5MYWeLnx
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
#MkapaFoundation: “Maendeleo bora ya nchi yetu, yanategemea sana ustawi bora wa sekta ya afya”- Rais mstaafu, Mzee Mkapa
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
#MkapaFoundation: JPM: Mimi najua maisha ya shida, nimeuza maziwa sana, nimechunga ng’ombe sana, sitaki watu wa chini waendelee kunyanyasika pic.twitter.com/c3s7pwG4iL
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
#MkapaFoundation: “Ninamuomba sana Mwenyenzi Mungu asinifanye nikawa na kiburi na kusahau nilikotoka”- Rais Dkt @MagufuliJP pic.twitter.com/2ZMvNr0AEE
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
#MkapaFoundation: JPM- Hata hapa Chato kulikuwa na ufisadi mkubwa, shilingi bilioni 1.5 za pembejeo zimeliwa, uchunguzi unaendelea.
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
Mkapa Foundation tangu imeanza kazi, imejenga nyumba za watumishi wa afya 450 katika mikoa 17 nchini na kusomemsha madaktari zaidi ya 960. pic.twitter.com/Uph3tTuIRN
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
#MkapaFoundation: JPM- Kuanzia sasa nimeshamuagiza waziri, hakuna kutoa leseni ya kuchimba madini, atakayetoa leseni ataondoka na yeye.
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
#MkapaFoundation: JPM- Tunataka taasisi zinazosaidia wananchi kama hii ya Mkapa, siyo za kutetea watu wanaopata mimba shuleni.
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
#JPM: Siyo watoto wote wanaopata mimba mashuleni wamebakwa, mimi mtoto wa mdogo wangu alipata mimba lakini hakubakwa #MkapaFoundation
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
JPM: Msukuma unafanya kazi nzuri sana, tena sana, ukiwa bungeni unakisimamia chama. Safi sana. #MkapaFoundation
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
#MkapaFoundation: Rais Magufuli amezindua rasmi nyumba 50 zilizojengwa na Taasisi ya Mkapa, Chato, Geita kwa ajili ya watumishi wa afya.
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
Najua Geita ni mkoa wa mwisho mwisho kujengwa kwa nyumba hizi, lakini watapindisha maneno na kusema, nyumba zajengwa kwa Magufuli.
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
Tumefanya ukaguzi katika Mikoa 11 ambapo madeni yalielezwa kuwa ni Tsh 50bn lakini baada ya ukaguzi tumegundua madeni halali ni Tsh 8bn.
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
Rais Magufuli amesisitiza tena kuwa, hakuna ruhusa ya Wizara ya Nishati kutoa leseni mpya ya uchimbaji wa madini hadi tutakapojipanga upya.
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
Rais Magufuli ameonya kuwa, atakayetoa leseni mpya ya uchimbaji wa madini, na yeye ataondoka na hiyo leseni.
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
Nilipoletewa miswada ya rasilimali iliyopitishwa na Bunge, nilisaini siku hiyo hiyo (Julai 5) na karibu tutaanza mazungumzo- @MagufuliJP
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
Mimi nazipenda sana taasisi lakini zinazofanya kazi kama ya Mzee Mkapa (Mkapa Foundation), sio zile zinazotaka watoto wazae wakiwa shule.
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
Global Fund hizi taasisi za kila siku kwenye majukwaa mzinyime fedha. Tunataka taasisi zinazofanya kazi inayooneka sio za kuongea ongea tu.
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017
Hata mimi kuna mtoto wa mdogo wangu amezalia nyumbani. Akazaa mtoto akamuita John, wa pili akamuita Samia. Lakini hakubakwa- @MagufuliJP
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 10, 2017