×

Hizi Ndizo Muvi Zitakazowania Tuzo za Emmy

Huku ikiwa imebaki miezi miwili kabla ya Tuzo za 69 za Emmy kufanyika nchini Marekani, tasnia ya filamu nchini humo, Hollywood imetoa muvi na waigizaji wa Tamthiliya ambazo zimeingia kwenye mchakati wa kupigiwa kura na kupata tuzo hizo.

Zipo tamthiliya nyingi zilizopendekezwa kiasi kwamba watu wametoa maoni yao kuwa na ugumu wa kuzichagua kwani tamthiliya nyingi nzuri zimewekwa katika vipengele vimoja kitu kinachoonyesha kwamba tuzo hizo zitakuwa na ushindani mkubwa mno.

Hivi ndivyo vipengele hivyo.

Drama Series
Better Call Saul
The Crown
The Handmaid’s Tale
Stranger Things
This Is Us
Westworld
House of Cards

Comedy Series
Atlanta
Black-ish
Master of None
Modern Family
Silicon Valley
Unbreakable Kimmy Schmidt
Veep

Limited Series
Big Little Lies
Fargo
Feud: Bette and Joan
The Night Of
Genius

Drama Actress
Viola Davis (“How to Get Away with Murder”)
Claire Foy (“The Crown”)
Elisabeth Moss (“The Handmaid’s Tale”)
Keri Russell (“The Americans”)
Evan Rachel Wood (“Westworld”)
Robin Wright (“House of Cards”)

Drama Actor
Sterling K. Brown (“This Is Us”)
Anthony Hopkins (“Westworld”)
Matthew Rhys (“The Americans”)
Liev Schreiber (“Ray Donovan”)
Kevin Spacey (“House of Cards”)
Milo Ventimiglia (“This Is Us”)

Comedy Actress
Pamela Adlon
Jane Fonda
Allison Janney
Ellie Kemper
Julia Louis-Dreyfus
Tracee Ellis Ross
Lily Tomlin

Comedy Actor
Anthony Anderson
Aziz Ansari
Zach Galifianakis
Donald Glover
William H. Macy
Jeffrey Tambor

*Limited Series Actress
*Carrie Coon
Felicity Huffman
Nicole Kidman
Jessica Lange
Susan Sarandon
Reese Witherspoon

Limited Series Actor
Riz Ahmed (“The Night Of”)
Benedict Cumberbatch (“Sherlock: The Lying Detective”)
Robert De Niro (“The Wizard of Lies”)
Ewan McGregor (“Fargo”)
Geoffrey Rush (“Genius”)
John Turturro (“The Night Of”)

Reality Competition
The Amazing Race
American Ninja Warrior
Project Runway
RuPaul’s Drag Race
Top Chef
The Voice

Variety Talk
Full Frontal With Samantha Bee
Jimmy Kimmel Live!
Last Week Tonight With John Oliver
The Late Late Show With James Corden
The Late Show With Stephen Colbert
Real Time With Bill Maher

 

Leave a Comment