×

Shindano la ‘Miss Grand Tanzania’ Laanza Usaili

Baadhi ya majaji wakiwa wanaandika jambo baada ya mrembo kujongea mbele.
Wanamitindo wakimsilikiliza mmoja wa majaji, Ester Raphael.
Wanamitindo wakiwa kwenye pozi.
Mratibu wa shindano la Miss Grand Tanzania, Happyness O’shea.
Majaji wakikagua alama za warembo waliopita kwenye usaili.

SHINDANO la Miss Grand Tanzania limeanza kuwafanyia usaili wanamitindo ambao watashiriki shindano hilo ambalo linapiga  vita na machafuko mbalimbali nchini ambapo mara nyingi mambo hayo  huanzia kwenye ngazi ya familia na katika sura ya uchumi.

Akizungumza na mwandishi wa habari hii,  mratibu wa shindano hilo, Happyness  O’shea, alisema kuwa shindano hilo  pia linalenga kutoa msaada kwa watoto walemavu  na waliotengwa kwenye jamii  na pia kutangaza vivutio vilivyopo katika jamii.

Stori: Imelda Mtema | Global Publishers | Miss Grand Tanzania

Leave a Comment