The House of Favourite Newspapers

Happy Birthday Glory Lucas

0
Mfanyakazi wa Global Publishers, Glory Lucas.

LEO ni siku muhimu sana kwa mfanyakazi wa Global Publishers, Glory Lucas ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.Hivyo, uongozi na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Publishers Ltd iliyopo Bamaga-Mwenge jijini Dar, unamtakia heri ya kuzaliwa.

Tunatambua mchango wako ni mkubwa sana kwa wafanyakazi wote wa Global Publishers Ltd na Tanzania kwa ujumla, hivyo tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali.

Happy Birthday Glory Lucas!

Angel Mary Kato Atoboa Siri Nzito Kuhusu BSS, Kumbe Waliachwa Kwenye Mataa

Leave A Reply