The House of Favourite Newspapers

WAHENGA BALAA! NIMEKUTANA NA KITUKO NDANI YA DALADALA

0

KAMA wasemavyo Waswahili, dunia ina mengi… leo nimeamini, si kwa kituko hiki. Kisa si kisa, labda ni kisasi, sijui!

ILIVYOKUWA

Basi bwana kama kawaida, nimeamka asubuhi kuwahi katika kibarua changu kilekile cha kuchanganya zege ghorofa lipande. Ila usimwambie mtu siri hii kwa sababu ‘wife’ anajua nafanya kazi kitengo maalumu pale ikulu… BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Leave A Reply