×

Hatimaye Aishi Manula Kujiunga Kambi ya Simba Sauzi

Klabu ya Simba imetangaza rasmi kuwa kipa Aishi Manula, kesho Agosti 1, 2017 atajiunga na kambi ya timu hiyo iliyopo Afrika Kusini baada ya kukamilisha usajili akitokea Azam.

Leave a Comment