
Global TV Online imefanya mahojiano na askari wa Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam, ambaye ni mlemavu wa macho, Focus Kayaga.
Askari huyo amefunguka mengi kuhusu maisha yake, namna alivyoanza kuugua hadi kupoteza uwezo wa kuona na jinsi anavyopata shida kufanya kazi yake na kutekeleza jukumu la uaskari.