The House of Favourite Newspapers

Sol Campbell Azipongeza Timu za Soka za Walemavu Dar (Video)

1


Sol Campbell baada ya kutua nchini Agosti 5, alipokelewa na SportPesa uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere upande wa watu mashuhuri (VIP) baadaye makao mkuu ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) alipojumuika na timu za soka za walemavu ambapo aliwataka wajione kwamba wanaweza kufanya lolote katika soka.
Campbell aliyekuwa mchezaji wa zamani wa klabu ya Arsenal ya Uingereza, yuko nchini kwa mwaliko wa SportPesa kwa ajili ya kuhamasisha michezo nchini.
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…

SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1

1 Comment
  1. […] Walemavu wana haki ya kuishi kama watu wengine. Asitokee mtu yeyote wa kuyakatisha maisha ya mlemavu kwa sababu ya imani potofu. […]

Leave A Reply