Global TV Online inakuletea tukio hilo LIVE
Ni balaa kubwa! Wananchi wa kijiji cha Kwakonje, Kata ya Kibindu Wilaya ya Bagamoyo, wapatao 1500 wamemuomba Rais John Pombe Magufuli na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi wawaokoe, baada ya nyumba zao zaidi ya 160 kuchomwa moto na kubomolewa na watu wasiojulikana, Jumamosi iliyopita.
