×

DEREVA, FUNDI WATUSUA MAPENE YA VODACOM MCHANA KWEUPEEEEEE!

 

Washindi wa Promosheni ya Tusua Mapene inayoendeshwa na Vodacom Tnzania PLC, Octavian Ngosongo (kushoto) na Abdallah Mwalemba,wakipongezwa kwa kupigiwa makofi na Meneja wa Vodashop Tawi la Mlimani City,Vanessa Mlawi (katikati) baada ya kukabidhiwa vitita vyao na Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Matina Nkurlu (kulia), Dar es Salaam leo walivyojishindia kupitia promosheni hiyo, Ili Mteja aweze kushiriki kwenye promosheni hii anatakiwa kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Matina Nkurlu (kulia) akimkabidhi mshindi  wa Promosheni ya Tusua Mapene, Octavian Ngosongo, fedha taslimu Sh. milioni 2 alizojishindia kupitia promosheni hiyo, Dar es Salaam leo.Katikati ni Meneja wa Vodashop Tawi la Mlimani City, Vanessa Mlawi,Ili Mteja aweze kushiriki kwenye promosheni hii anatakiwa kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.
Washindi wa Promosheni ya Tusua Mapene inayoendeshwa na Vodacom Tnzania PLC, Octavian Ngosongo (kushoto) na Abdallah Mwalemba wakionyesha fedha walizokabodhiwa na Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Matina Nkurlu (kulia), Dar es Salaam leo wa pili kulia ni Meneja wa Vodashop Tawi la Mlimani City,Vanessa Mlawi Ili Mteja aweze kushiriki kwenye promosheni hii anatakiwa kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.
Mshindi wa Promosheni ya Tusua Mapene, Abdallah Mwalemba, akipokea kitita cha Shilingi Milioni 7/- toka kwa  Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Matina Nkurlu (kulia)wakati wa hafla fupi iliyofanyika Dar es Salaam leo.Katikati ni Meneja wa Vodashop Tawi la Mlimani City, Vanessa Mlawi, Ili Mteja aweze kushiriki kwenye promosheni hii anatakiwa kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.

PROMOSHENI inayoendelea ya Kampuni ya Mtandao wa Simu ya Vodacom leo imekabidhi fedha kwa Washindi wa Promosheni ya ‘Tusua Mapene’,kwa  Octavian Ngosongo aliyepata Sh. Milioni  mbili na Abdallah Mwalemba aliyejishindia kitita cha Shilingi Milioni  saba.

Hafla hiyo imefanyika katika ofisi za Vodashop Tawi la Mlimani City, jijini Dar es Salaam ambapo fedha hizo zimekabidhiwa na Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Matina Nkurlu na Meneja wa Vodashop Tawi la Mlimani City, Vanessa Mlawi.

Akizungumzia namna ya kushirki promosheni hiyo, Meneja Uhusiano wa Vodacom, Matina Nkurlu alisema kuwa ili mteja aweze kushiriki kwenye promosheni hiyo  anachotakiwa ni kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu .

 

Leave a Comment