×

Breaking News: Serikali Yalifungia Gazeti la MwanaHalisi

SERIKALI kupitia  Idara ya Habari Maelezo, imelifungia gazeti la kila wiki la MwanaHalisi kwa muda wa miaka miwili kuanzia leo Jumanne, Septemba 19, 2017 likidaiwa kukithiri kuandika habari zinazokiuka maadili ya taaluma hiyo.

Leave a Comment