The House of Favourite Newspapers

ACACIA Yatangaza Matokeo Mazuri Mgodi wa Buzwagi

0

KAMPUNI ya Uchimbaji wa Madini ya ACACIA yatangaza matokeo chanya kutoka katika mfumo mpya wa kuchakata makinikia Mgodi wa Buzwagi.

ACACIA: Tunaamini kuwa mabadiliko haya yatasaidia kuongeza mapato ya Mgodi kutoka hasi na kuwa chanya pia tutaokoa ajira za watu maelfu.

Leave A Reply