×

Live: Shigongo Awapa Somo Wakongwe Waliosoma St. Joseph’s

Eric Shigongo akizungumza na kwenye hafla hiyo.

MWALIMU na Mhamasishaji maarufu Afrika Mashariki na Kati na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, Eric James Shigongo amewaasa vijana na wanafunzi waliowahi kuosoma na kuhitimu katika Shule ya Sekondari St. Joseph’s kujitengenezea sifa njema katika jamii ikiwa ni moja ya kutengeneza njia bora za kufanikiwa katika maisha.

Shigongo ameyasema hayo leo katika hafla ya St. Joseph’s Alumni Day ambayo imewakutanisha wanafunzi waliowahi kuosoma na kuhitimu kwenye shule hiyo na marafiki wengine ambapo Global TV Online ilikuwa ikirusha LIVE.

 

Wanafunzi hao wakibadilishana mawazo.

“Historia yako unaitengeneza leo, hakuna jambo ambalo unaweza kushindwa kulifanya kama ukiamua, chakufanya hakikisha unafanya mambo kulingana na ndoto yako, jitume kwa bidii na uheshimu muda…” hizo zilikuwa ni baadhi ya nasaa za Shigongo kwa wanafunzi hao.

SHUHUDIA SHIGONGO AKIWAASA

Leave a Comment