Live: Said Maulid ‘SMG’ Amfungukia Kocha wa Yanga, Usikose Kutazama Spoti Hausi
Global Publishers October 5, 2017 0 Comments
SHARE THIS:
Watangazaji wa kipindi cha Spoti Hausi kutoka kushoto Saleh Ally, Said Maulid (Mchezaji wa Yanga wa zamani), Philip Nkini, Elius Kambili na Wilbert Moland.
KIPINDI cha Spoti Hausi leo kitakuwa mubashara na mchezaji wa Yanga wa zamani Said Maulid ‘SMG’ amefunguka historia yake ya mpira na Kocha wa Yanga, George Lwandamina.