



KIONGOZI wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, leo ameripoti kituo cha polisi Chang’ombe jijini Dar es Salaam ambako anakabiliwa na shutuma za hotuba za uchochezi wakati wa kampeni za uchaguzi wa madiwani huko Mbegala jijini Dar es Salaam.. Kiongozi huyo ametakiwa kuripoti tena kituoni hapo Novemba 17.
Ametakiwa pia kuripoti kesho katika ofisi za kituo hicho kwa tuhuma za kutoa takwimu zisizo sahihi za za pato na uchumi wa taifa.
(HABARI/PICHA; DENIS MTIMA | GLOBAL PUBLISHERS)