MSAGA SUMU AWAPAGAWISHA WANAFUNZI WA UDSM KWENYE TAMASHA LA PINDUAPINDUA
Global Publishers November 20, 2017 0 Comments
SHARE THIS:
Mkali wa muziki wa Singeli nchini, Msaga Sumu akiwapagawisha wanafunzi wa chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) na wimbo wa mwanaume mashine wakati wa tamasha la Pinduapindua lilioandaliwa na Vodacom Tanzania PLC, na kufanyika katika viwanjaa vya hosteli za Mabibo jijini Dar es Salaam,Tamasha hilo liliku a na lengo la kuwaelimisha wanafunzi wa chuo hicho kuhusu huduma ya kifurushi cha Pinduapindua.Mkali wa muziki wa Singeli nchini, Msaga Sumu akiwapagawisha wanafunzi wa chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) na wimbo wa mwanaume mashine wakati wa tamasha la Pinduapindua lilioandaliwa na Vodacom Tanzania PLC, na kufanyika katika viwanjaa vya hosteli za Mabibo jijini Dar es Salaam,Tamasha hilo lilikua na lengo laku aelimisha wanafunzi wa chuo hicho kuhusu huduma ya kifurushi cha Pinduapindua.Msanii wa muziki wa Hip Hop, Young Killer akionyesha umahiri wake wa kurapu”Kufokafoka” wakati wa tamasha la Pinduapindua lililoandaliwa na Vodacom Tanzania PLC, na kufanyika katika viwanja vya hosteli za Mabibo jijini Dar es Salaam,Tamasha hilo lilikuwa na lengo la kuwaelimisha wanafunzi wa chuo hicho kuhusu huduma ya kifurushi cha Pinduapindua.Mtaalam wa kucheza na baiskeli ,Awadhi Mazame wa kundi la Chego Bike akionyesha manjonjo ya kuruka na baiskeli yake wakati wa tamasha la Pinduapindua lilioandaliwa na Vodacom Tanzania PLC, na kufanyika katika viwanja vya hosteli za Mabibo jijini Dar es Salaam,Tamasha hilo lilikuwa na lengo la kuwaelimisha wanafunzi wa chuo hicho kuhusu huduma ya kifurushi cha Pinduapindua.Abdallah Juma wakundi la Maco Swagg akionyesha umahiri wake wa kucheza pinduapindua, wakati wa tamasha la Pinduapindua lilioandaliwa na Vodacom Tanzania PLC, na kufanyika katika viwanjaa vya hosteli za Mabibo jijini Dar es Salaam,Tamasha hilo lilikuwa na lengo la kuwaelimisha wanafunzi wa chuo hicho kuhusu huduma ya kifurushi cha Pinduapindua.Msanii wa kundi la Maco Swagg Husein Habib , akionyesha staili ya Pinduapindua wakati wa tamasha la Pinduapindua lilioandaliwa na Vodacom Tanzania PLC, na kufanyika katika viwanjaa vya hosteli za Mabibo jijini Dar es Salaam,Tamasha hilo lilikuwa na lengo la kuwaelimisha wanafunzi wa chuo hicho kuhusu huduma ya kifurushi cha Pinduapindua.Umati wa wanafunzi wa chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wakifuatilia kwa makini burudani iliyokuwa ikitolewa na Msanii wa miondoko ya singeli,Msaga Sumu hayupo pichani wakati wa tamasha la Pinduapindua lilioandaliwa na Vodacom Tanzania PLC, na kufanyika katika viwanjaa vya hosteli za Mabibo jijini Dar es Salaam,Tamasha hilo lilikuwa na lengo la kuwaelimisha wanafunzi wa chuo hicho kuhusu huduma ya kifurushi cha Pinduapindua.