The House of Favourite Newspapers

Alikiba Afunika Tena Jukwaa La Tigo Fiesta 2017 Leaders Club

0
Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba akifanya yake katika Tamasha la Tigo Fiesta 2017 usiku wa kuamkoa leo Leaders Club jijini Dar.
…Makamuzi yakiendelea.
…Akicheza na wacheza shoo wake.
…Akiongea na mashabiki zake (hawapo pichani)
Msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz (kushoto) akifanya yake na Ali Kiba.

Hatimaye tamasha la Tigo Fiesta limefanyika  kwenye Viwanja vya Leaders Club pale Kinondoni ambapo kulikuwa na bonge la shoo kutoka kwa wasanii mbalimbali.

PICHA: MUSA MATEJA/GPL

Leave A Reply