RAIS Magufuli atuma salamu za rambirambi kwa familia ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joel Bendera ambaye amefariki leo hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.