
Kwa mara ya kwanza, Kanisa la Christ Mandate and Power Ministries International linawaletea ibada ya mkesha wa kuvuka mwaka kuingia 2018 utakayofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, Desemba 31, 2017, kuanzia saa 12:00 jioni hadi kuvuka mwaka.

Nabii wa Mungu Pastor Malachi kiboko wa kufichua siri za ufalme wa giza na kuweka watu huru atakuwepo kukuvusha kwa maombi.
Sauti ya Mungu itajidhihirisha kwa nguvu baada ya kuvunja vyungu kama ishara ya kuharibu nguvu za giza zilizokufunga.

Usikose siku hii ya kihistoria, Miujiza, Uponyaji na Kufungiliwa vitatawala siku hiyo.
Walemavu watatembea, vipofu wataona na viziwi watasikia.
Kwa maelezo zaidi piga namba zilizopo katka tangazo ama +255 (0)764 066560.