×

Video: Huduma ya Pesa ni M-Pesa Ilivyobamba Watumiaji wa Vodacom Dar!

Huduma ya Lipa Kwa MPesa inakupa unafuu wa kupokea malipo ya bidhaa na huduma mbalimbali katika maduka, migahawa, hospitali na kumbi za burudani. Sajili biashara yako sasa http://vda.cm/jisajilihapa na ufurahie malipo kutoka mitandao mingine na akaunti za benki.