
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mwanahabari na Mwanamichezo Ndg. Limonga Justine kilichotokea Jumapili asubuhi ya tarehe 31 Desemba, 2017 katika Hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam
