IFM Mabingwa Wa Soka la Ufukweni Ligi ya Vyuo vya Elimu ya Juu
Global Publishers January 7, 2018
SHARE THIS:
Chuo cha IFM kimetwaa ubingwa wa Ligi ya Vyuo vya Elimu ya Juu mkoa wa Dar es Salaam baada ya kuishinda Chuo cha Ardhi kwa magoli 6-4 kwenye mchezo wa fainali iliyochezwa kwenye Ufukwe wa Coco leo Jumapili Januari 7, 2018. Imedhaminiwa na Sokabet www.sokabet.co.tz
Meneja Masoko wa kampuni ya Sokabet, Franco Ruhinda (kulia) akikabidhi Kombe kwa kepteni wa timu ya Ifm baada ya kuibuka na ubingwa wa Ligi ya Vyuo vya Elimu ya Juu mkoa wa Dar es Salaam.Timu ya IFM wakishangilia kwa pamoja.Wakiwa katika picha ya pamojaMchezo ukiendelea.
(PICHA NA SWEETBERT LUKONGE | GLOBAL PUBLISHERS)
Kilichomkuta Huyu Msanii Baada ya Kuposti Picha za Utupu!!