Serikali imesema ubinafsishaji wa Kampuni ya Airtel uligubikwa na ukiukwaji wa heria, Kanuni na Taratibu. Mazungumzo kufanyika ili nchi ipate haki yake ambapo kwa sasa Serikali inamiliki 40% ya hisa za Kampuni hiyo ambayo inamiliki 60% ya hisa zilizobaki.
Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Kabudi amewasilisha Kanuni za Sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017 kama alivyotakiwa kufanya hivyo kabla ya Ijumaa na Rais Magufuli ambapo vitabu na nyaraka hizo zimepokelewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi.
Comments are closed.