Breaking News: Theo Walcott Afuzu Vipimo na Kujiunga Everton
WINGA wa Arsenal, Theo Walcott amefuzu vipimo vya afya na kukubali dau la kujiunga na Klabu ya Evertonal. Taarifa zinaeleza, Walcott alionekana jana mchana akiingia kwenye uwanja wa mazoezi wa Everton maarufu kama , Finch Farm na leo amefuzu vipimo.
Comments are closed.