Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ usiku wa kuamkia leo walifanya makamuzi ndani ya Ukumbi wa The Jonz uliopo Magomeni jijini Dar. Katika onesho hilo bendi hiyo iliweza kuwapagawisha mashabiki wake kwa kuwapigia vibao vyake vilivyowahi kutikisa kama vile, Dunia kigeugeu, Anna na vingine vingi.







PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS / GPL