The House of Favourite Newspapers

New Audio: Diva Thee Bawse – Waambie Ft. Mr. Paul & Mwana FA


Tazama exclusive interviews za mtangazaji wa #alazaroho @divatheebawse kupitia #GlobalPublishersApp.
Ndani ya #GlobalPublishersApp ngoma mpya ya Diva #WAAMBIE IMO ndani. Unaweza kuitazama na kuidownload kupitia #GlobalPublishersApp.

Ngoma hiyo amewashirikisha wakali kibao wakiwemo wa Bongo Fleva na wa nje ya Bongo.
Fanya Ku-Install #GlobalPublishersApp kupitia #GooglePlay ya android au #AppStore ya iOS, uta-enjoy.

Kupitia interviews zake amefunguka mengi kuhusu maisha yake, mahusiano yake na uamuzi aliyoufanya baada ya kutemana na aliyekuwa mpenzi wake. Bofya link kwa #bio, #InstallGlobalPublishersApp twende pamoja na @divatheebawse.
​Ku-install​
​ application ya Global Publishers, ingia Google Play kupitia bit.ly/2AAQe1d au App Store kupitia apple.co/2Assf4M, download na install ufurahie App hii ya kijanja.

Comments are closed.