×

Wanahabari Global Wapigwa Msasa

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tumaini, Dk. Dalius Mkiza akisisitiza jambo wakati wa semina na wanahabari wa Global (hawapo pichani) iliyofanyika katika ofisi ya kampuni hiyo, Sinza- Mori jijini Dar.
Wahariri wa Magazeti ya Global wakiendelea kumsikiliza Dk Dalius.
…Semina ikiendelea.
Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul (kushoto) akiwa na Gabriel Ng’osha wakiendelea na semina.

WAHARIRI na waandishi waandamizi kutoka Kampuni ya Global Publishers wamepewa semina ya kuboresha ufanisi wa kazi zao, somo lililotolewa leo na mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tumaini, Dk. Dalius Mkiza ndani ya ofisi za kampuni hiyo, Sinza-Mori jijini Dar.

(PICHA: RICHARD BUKOS | GLOBAL PUBLISHERS)